Polisi nchini Afrika kusini wameendesha msako wa nchi nzima na kufanikiwa kuwakamata watu sita wanaodaiwa kuendesha mtandao wa kutengeneza na kuuza filamu za ngono zinazpwahusisha watoto wadogo.