Desemba 9, 2021, imetimia miaka 60 tangu Uhuru wa Tanganyika kutoka kwa Uingereza, ambao muasisi wake ni Julius Kambarage Nyerere . Nyerere aliitawala Tanganyika takriban miaka miwili na nusu kabla ya ...
Mtafiti Ignas Fedeo kutoka Tanzania, anachunguza simulizi za Wanyakyusa kuhusu Mwalimu Julius Nyerere kutaka kujua kwanini wanaendelea kumuenzi katika simulizi zao. Fedeo anachunguza simulizi za ...
Kwa mtizamo wa Jaffar Amin, familia hizo mbili zilitakiwa kuwa zimeshakutana kwasababu “wao ndiyo walikuwa vinara”. Ilichukua muda mrefu kumshawishi Madaraka Nyerere, lakini hatimaye alikubaliana na ...
Juma hili tunatupia jicho kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa Tanzania. Tunatupia jicho moja ya kazi zake muhimu, Azimio la Arusha mwaka 1967. Wanazuoni wa utamaduni ...
Kutana na Mwalimu Julius Nyerere, aliyekuwa waziri mkuu wa Tanganyika, baadaye Tanzania na hatimaye Rais wa kwanza wa Tanzania. Tizama maono yake, ambayo yalikuwa ni pamoja na kuundwa kwa Shirikisho ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results