Timu ya Taifa ya Futsal ya Wanawake imepoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Ureno kwa kufungwa 10-0. Kwa sharia za Futsal mechi inachezwa kwa dakika 40 ambazo ni dakika 20 kila kipindi.
BAADA ya kupoteza mechi sita za Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Marcio Maximo amesema timu hiyo inapaswa kuanza kulikodolea macho dirisha dogo la usajili la Januari, 2026 ili kuboresha kikosi.
Mchambuzi wa soka wa England, Jamie Redknapp, amewataka mashabiki wa Liverpool kumvumilia kocha Arne Slot, ambaye anapitia ...
Gwiji wa soka wa Italia, Gianluigi Buffon, amesema kikosi cha Azzurri kinamsubiri Federico Chiesa kurejea katika timu hiyo, ...
Uwanja wa Stade Louis II ulifurika watazamaji kuliko ilivyozoeleka. Wapenzi wa soka walikuwa wamebeba mabango mekundu na ...
BAADA ya ushindi wa mabao 2-0, Kocha mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema kikosi hicho kimerudi kwenye ushindani katika Ligi ...
BAADA ya kupoteza mechi sita za Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Marcio Maximo amesema timu hiyo inapaswa kuanza kulikodolea macho dirisha dogo la usajili la Januari, 2026 ili kuboresha kikosi.
BAADA ya kupoteza mechi sita za Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Marcio Maximo amesema timu hiyo inapaswa kuanza kulikodolea macho dirisha dogo la usajili la Januari, 2026 ili kuboresha kikosi.
BAADA ya kupoteza mechi sita za Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Marcio Maximo amesema timu hiyo inapaswa kuanza kulikodolea macho dirisha dogo la usajili la Januari, 2026 ili kuboresha kikosi.
KOCHA Arne Slot amesema Liverpool kusajili beki wa kati mpya kwenye dirisha la Januari sio kipaumbele kikuu na badala yake ...
BAADA ya kupoteza mechi sita za Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Marcio Maximo amesema timu hiyo inapaswa kuanza kulikodolea ...
Yanga imeibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mechi ya kwanza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ikiifunga AS FAR Rabat ...